Full Lyrics
FUMBO LA IMANI
(Ee Bwana) Bwana tunatangaza (tunatangaza), tunatangaza kifo chako
(na kutukuza) na kutukuza ufufuko (ufufuko wako) wako mpaka unakapokuja (tunaamini hivyo!).
(Ee Bwana) Bwana tunatangaza (tunatangaza), tunatangaza kifo chako
(na kutukuza) na kutukuza ufufuko (ufufuko wako) wako mpaka unakapokuja (Ee Bwana!).